Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Umuhimu wa mivigha.

 (4m 26s)
5193 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa mivigha.
a) Kuburudisha kwa vile baadhi ya mivigha huhusisha nyimbo, ngoma na uigizaji.
b) Kutoa mafunzo ya utu uzima.
c) Mivigha ya mazishi huliwaza wafiwa.
d) Kukuza utangamano miongoni mwa wanajamii.
e) Kujenga uhusiano bora kati ya jamii na miungu au mizimu.


|