Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Aina za hadithi
a) Hadithi za Kubuni
-Hazisimulii matukio ya kweli bali ya kutugwa.
b) Hadithi za Kisalua/Kihistoria -Zinazosimulia matukio yaliyowahi kutendwa na wahusika waliyowahi kutendwa na waliowahi kuishi.
-Huongezewa ubunifu ili kuvutia Zaidi.

 (3m 14s)
26612 Views     SHARE

Download as pdf file


|