Maana ya nyimbo kongozi,Jadiiya na nyimbo za Kuzaliwa kwa Mtoto
Answer Text: i) Kongozi-Za kuaga mwaka katika jamii za waswahili.ii) Jadiiya-Nyimbo za jadi ambazo hupokezwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine.-Huhusu matukio ya kihistoria k.v. shujaa, mateso, njaa, n.k.iii) Nyimbo za Kuzaliwa kwa Mtoto-Za kuonyesha au kuadhimisha kuzaliwa kwa mtoto.