Maana ya mashairi Mepesi na Vigezo vya Uchanganuzi wa Tungo za Ushairi Simulizi
Answer Text: Mashairi Mepesi.a) Mashairi ya kawaida ambayo hupatikana katika ushairi simulizi.b) Hujumuisha mashairi mafupi ya kihisia, kimapenzi, kusifu na kukosoa watu.Vigezo vya Uchanganuzi wa Tungo za Ushairi Simulizia) Kuainisha utungo kimaudhuib) Kutaja sifa zinazojitokeza za ushairi simulizi.c) Muktadha ambamo unaweza kutolewa.d) Kuandika mbinu za kifasihi zilizotumiwa katika utungo huo.e) Kufafanua sifa za jamii zinazojitokeza katika utungo.Vipera vya Mazungumzoi) Hotuba-Maelezo yanayotolewa mbele ya watu kuhusu mada fulani.-Huhusisha mada maalum sio suala lolote tu.Umuhimu wa hotubaa) Kuelimisha kwa kupa maarifa ya kukabiliana na maisha.b) Huimarisha ukakamavu wa kuzungumza kadiri watu wanavyotoa hotuba hadharani.c) Kukuza ufasaha na umilisi wa lugha.d) Kupalilia kipawa cha uongozi.e) Kuelimisha kwa kupatia watu maarifa