Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na miktadha Ambamo Ulumbi Hutumika Katika Jamii

 (3m 45s)
3945 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Ulumbi
-Uwezo na ustadi wa kuzungumza kwa uhodari mkubwa.
Miktadha Ambamo Ulumbi Hutumika Katika Jamii
a) katika mijadala mbungeni
b) katika hotuba za kisiasa
c) katika mahubiri maabadini
d) katika mijadala shuleni
e) kortini


|