Sifa za vitanza ndimi:a) Ni kauli fupi.b) Huwa na mchezo wa maneno.c) Huundwa kwa sauti zinazokaribiana kimatamshi.d) Hutumia maneno yenye maana zaidi ya moja au yenye sauti sawa.