Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Matumizi ya lugha katika methali: Kinaya, Kejeli/dhihaka/stihizai

Kinaya
a) Bara Hindi ndiko kwenye nguo na waendao uchi wapo.
b) Kwenye miti hakuna wajenzi.
c) Asante ya punda ni mateke.
d) Kigumba kwa nguruwe kwa binadamu ki uchungu.
e) Kikiharibika cha fundi kikiongoka cha bwana Sudi.

 (4m 53s)
7570 Views     SHARE

Download as pdf file


|