Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Umuhimu wa maigizo.

 (3m 23s)
12091 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa maigizo.
a) Kuburudisha wahusika na hadhira.
b) Kukuza umoja na ushirikiano kwa kujumuisha watu pamoja.
c) Kuimarisha uwezo wa kuzungumza hadharani.
d) Kukuza umoja na ushirikiano watu wanapojumuika pamoja kutazama maigizo.
e) Kukejeli kitendo kisichofaa.


|