Maghani ya Kawaida:Sifa za vivugo au majigambo
Answer Text: Maghani ya Kawaidai) Vivugo/majigambo-Utungo wa kujisifu au kujigamba.Sifa za vivugoa) Hutungwa baada ya ushindi wa harakati ngumu k.v. kesi, kumuua simba, kuoa msichana aliyependwa na wengi n.k.b) Fanani ni mwanamme.c) Hutungwa papo hapo.d) Hutungwa na kughanwa na mhusika mwenyewe.e) Hutumia chuku.