Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maigizo Ya Uganga wa Ramli na sifa zake

 (6m 55s)
2795 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Maigizo Ya Uganga wa Ramli
Sifa za uganga wa ramli
a) Mganga hujitia kujua kwa hivyo vitendo vyake ni maigizo ya uganga.
b) Mengi katika matendo ya mganga hayana mashiko.
c) Aghalabu kafara hutolewa.
d) Waganga wanapopiga bao huvaa maleba kama ngozi, vibuyu, pembe.
e) Huweza kuwa na fimbo maalum.
Umuhimu wa uganga wa ramli
a) Wakati mwingine mizizi ya mganga huponya.
b) Huwapa watu matumaini hasa walio na magonjwa yasiyo na tiba.
c) Dawa za mganga hupunga mashetani kwa wagonjwa wake.
d) Hukutanisha ulimwengu wa mizimu na ulimwengu halisi.


|