Udhaifu wa nyimbo
Answer Text: Udhaifu wa nyimboa) Kutumiwa kueneza hisia za kikabila.b) Kutia watu kasumba.c) Hutumiwa kueneza propaganda ili kushawishi watu.d) Kupotosha kimaadili k.v. kuhimiza zinaa.e) Mtu akizizoea humlevya.