Maana na Sifa za maigizo
Answer Text: MAIGIZO-Utanzu wa fasihi simulizi unaoambatana na vitendo.-Sanaa ya mazungumzo yanayoambatana na vitendo.Sifa za maigizoa) Huwa na watendaji au waigizaji.b) Huwasilishwa mbele ya hadhira.c) Huwasilishwa mahali maalum k.v. ukumbini.d) Huwasilishwa kwa mazungumzo na matendoe) Waigizaji hujivika maleba yanayooana kutia uhai maigizo.