Tanakali za Sauti (Onomatopeya) : Mifano na sifa za onomatopeya-Maneno ambayo huiga sauti ya jambo, tendo au tukio fulaniMifano a) Boboka bobobo! -payuka ovyo ovyo b) Bwakia bwaku -akia upesi upesi c) Bwatika bwata -enda chini kwa mshindo Sifa za Onomatopeyaa) Ni kauli fupi.b) Ni miigo ya sauti zinazotokea baada ya tendo fulani. c) Hazina muundo maalum.d) Hujumuishwa katika fani nyingine.e) Hutumia takriri.