Sifa na lengo la tenzi au tendi
Answer Text: Sifa za tenzi/tendia) Huwa masimulizi yanayotolewa kishairi.b) Hutoa wasifu wa shujaa.c) Huwa na matumizi ya chuku.d) Wahusika hupewa sifa zisizo kawaida (kiungu).e) Ni masimulizi mrefu.f) Matumizi ya sitiarig) Huangazia matendo ya mashujaa.Lengo la tendi/tezia) Kuburudisha wanajamii.b) Kusifu mashujaa wa jamii.c) Kukuza uzalendo kwa kuhimiza wengine kuwaiga mashujaa.d) Kukuza ubunifu.e) Kuimarisha uwezo wa kukumbuka kwa kutungwa na kuhifadhiwa akilini.