Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Fasihi- ni Sanaa inayotumia lugha kuwasilisha ujumbe unaomhusu binadamu.
Sanaa- ni ufundi wa kuwasilisha fikira na hisia za binadamu kama vile; maneno, maandishi, uchoraji, ufinyanzi n.k.