Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Aina za Maghani

 (3m 43s)
5171 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Aina za Maghani
a) Maghani ya kawaida
-Ambayo hugusia maswala ya kawaida kama mapenzi, siasa, harusi, kazi, maombolezo n.k
-Husemwa/huganwa tu bila kusimuliwa.
b) Maghani Simulizi
-Maghani ambayo husimulia hadithi kuhusu tukio la kihistoria.
-Huhusu, mtu,tukio, kitu, mnyama, n.k.


|