Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na majukumu ya nyimbo za siasa

 (5m 22s)
6274 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Nyimbo za Siasa
-Zinazoimbwa katika shughuli za kisiasa.
Majukumu ya nyimbo za siasa
a) Kuburudisha watu katika shughuli za kisiasa.
b) Kupinga dhuluma za viongozi.
c) Kusifu viongozi na sera zao.
d) Kukashifu/kukejeli wanasiasa wabaya.
e) Kuonyesha matarajio ya watawaliwa kwa viongozi.
f) Kusambaza elimu ya kisiasa.


|