Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na Aina za Mivigha

 (4m 12s)
6637 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mivigha
-Sherehe za kitamaduni ambazo hutokea katika kipindi fulani cha mwaka ambazo huonyesha mwanajamii ametoka kiwango kimoja hadi kingine.
Aina za Mivigha
a) Sherehe za tohara
b) Sherehe za ndoa
c) Sherehe kutawazwa kwa kiongozi


|