Mbinu za lugha: Kejeli, jazanda, nidaha, tanakali na uzungumzi nafsia:1. Kejeli - Kudharau au kubeza. 2. Jazanda -Kufananisha vitu kwa mafumbo k.m. katika biblia. 3. Nidaha/ Siyahi - Maneno ya kuonyesha hisia za moyoni. 4. Tanakali/onomatopeya -Miigo ya sauti zinazotokea baada ya kitendo. 5. Uzungumzi nafsia - Kujisemesha mwenyewe.