Tashbihi: Maana, sifa na umuhimu wa tashbihi:Tashbihi - Misemo ya ulinganishoSifaa) Ni fupi. b) Hutumia viungio kama, mithili ya, n.k. c) Hulinganisha. d) Huwa na ujumbe wa kina. e) Hutoa taswira ambayo husaidia keleza hulka kikamilifu. Umuhimua) Kueleza sifa za kinazozungumziwa b) Kuongeza lugha utamu c) Kuonyesha umilisi wa lugha wa mtumizi