Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na sifa za vichekesho

 (3m 48s)
5585 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Vichekesho
-Michezo ya kuigiza inayokusudiwa kuzua kicheko ili kupitisha ujumbe k.m. vioja, vitimbi n.k.
Sifa za vichekesho
a) Vichekesho huigizwa.
b) Huwasilishwa kwa lugha sahili.
c) Hujaa taswira zinazoweza kutambulika na hadhira.
d) Hutumia mbinu ya kejeli, na kinaya.


|