Maana na Sifa za ngomezi
Answer Text: Ngomezi-Uwasilishaji wa ujumbe kwa kupiga ngoma au zana nyingine ya kimziki.Sifa za ngomaa) Kuwepo kwa ngoma au ala nyingine kama panda.b) Mapigo ya ngoma hueleweka tu na jamii husika.c) Mapigo kufuata toni maalum kuwasilisha maneno fulani.d) Kuwepo kwa hadhira au wasikilizaji.