Sifa za matambiko
Answer Text: Matambiko-Utoaji wa kafara kwa Mungu, miungu, pepo au mizimu ili wasaidiwe kutatua shida, kutoa shukrani au kuomba radhi.Sifa za matambikog) Hutolewa na wazee maarufu walioteuliwa.h) Hufanywa mahali maalum k.v. pangoni na mwituni.i) Huandamana na sala.j) Huandamana na utoaji kafara k.v. kuchinja mbuzi.k) Huandamana na maombi.