Changamoto za Ngomezi katika Jamii ya Sasa
Answer Text: Changamoto za Ngomezi katika Jamii ya Sasaa) Mwingiliano wa jamii mbalimbali unaosababisha kutofasiri ujumbe kwa njia moja inayotakikana.b) Viwanda na majumba marefu kusababisha kutosikika kwa sauti.c) Njia nyingine za kisasa za mawasiliano zinazotumiwa kwa wingi na kwa wepesi.d) Uhaba wa zana kama baragumu.