Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Umuhimu wa Ngomezi

 (4m 14s)
6534 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa Ngomezi
a) Njia ya mawasiliano kwa jamii zisizojua kusoma.
b) Husaidia wanaokabiliwa na ugumu wa mawasiliano.
c) Kuharakisha mawasiliano katika masafa mafupi.
d) Kutoa taarifa kuhusu matukio fulani k.m. ndoa, kifo.
e) Husaidia kupitisha jumbe za dharura.


|