Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na sifa za malumbano ya utani

 (4m 53s)
10855 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Malumbano Ya Utani
-Mazungumzo ya kutaniana.
Sifa za malumbano ya utani
a) Huwa kati ya watu wawili au makundi mawili ya watu.
b) Hufanywa kwa kujibizana papo hapo.
c) Hufanywa kwa njia isiyo ya kuudhi.
d) Hutumia maneno ya mizaha.
e) Hutumia lugha ya ucheshi.
f) Hufanywa na watu wenye uhusiano mzuri.


|