Lakabu, asili ya lakabu na mifano yake:-Jina la msimbo/kupanga/ambalo mtu hupewa au hujipa kutokana na sifa zake. Asili ya Lakabu a) Tabia b) Sifa za kimaumbile c) Matendo d) Nasaba atokayo mtu. e) Tabaka f) Jinsi mtu anavyotamka maneno k.m. ung’eng’e. Mifano a) Nyayo -Moi b) Simba wa Yuda -Haille Selassie c) Mkuki uwakao -Kenyatta