Sifa za majigambo au vivugo
Answer Text: Majigambo/vivugo-Uigizaji ambapo wahusika hujigamba kwa matendo ya kishujaa.Sifa za majigambo/vivugoa) Aghalabu huambatana na ngoma.b) Hujitokeza, kujigamba na kisha kuendelea kucheza ngoma.c) Anayejigamba hubeba zana zake za vita kama vile mkuki na ngao kuonyesha aliyotenda.d) Anayejigamba huvaa maleba kuambatana na jambo analojisifia.