Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Ngano za Kimafumbo na aina zake.
- Ambazo huwa na maana ya ndani/iliyofichika.
a) Istiara - Hadithi ambayo maana yake huwakilisha maana nyingine iliyofichika k.v. hurafa ambapo wanyama huwakilisha binadamu.
b) Mbazi - Hadithi fupi inayotolewa inayotolewa kama mfano kumkanya au kumwelekeza mtu k.v. katika biblia.

 (3m 9s)
6938 Views     SHARE

Download as pdf file


|