Matumizi ya lugha katika methali: Taswira, Chuku, Tanakali za sautiTaswira a) Mpanda farasi wawili hupasuka msamba.b) Mti mkuu ukigwa wana wa ndege huyumba. c) Mtupa jongoo hutupa na ungongo wake.d) Angeenda juu kipungu hafikii mbingu. Chukua) Mzigo wa mwenzio ni kanda la sufi.b) Maji ya kifuu bahari ya chungu.c) Usipoziba ufa utajenga ukuta.