Umuhimu wa Nyimbo katika Ngano:i) Kushirikisha hadhira.ii) Kusisimua hadhira na kuondoa ukinaifu.iii) Kuteka makini ya hadhira.