Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Sifa za Mlumbi

 (3m 56s)
7874 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Sifa za Mlumbi
a) Awe mkakamavu.
b) Asiwe na haya ili kuweza kuzungumzia mambo ya aibu inapobidi.
c) Awe mchanganfu na mcheshi ili kunasa makini ya hadhira.
d) Awe na ufahamu mpana wa utamaduni.
e) Awe na uwezo wa kuingiliana vizuri.
f) Awe na kumbukumbu nzuri.


|