Maana na Sifa za nyimbo
Answer Text: Wimbo-Uungo wenye mahadhi ya kupanda na kushukaSifa:a) Huwasilishwa kwa njia ya mdomo.b) Hutolewa kwa mahadhi ya kupanda na kushuka kwa sauti.c) Hutumia lugha ya mkato.d) Hadhira yaweza kuwepo au isiwepo.e) Huwa na mwimbaji au waimbaji wanaoimba.f) Waimbaji wanaweza kujivika maleba.g) Huweza kuambatana na ala k.v. ngoma,