Maana na majukumu ya nyimbo za vita
Answer Text: Nyimbo za Vita-Zinazoimbwa na askari vitani au baada ya vita.Majukumu ya nyimbo za vitab) Kuburudisha washiriki.c) Kufunza namna ya kukabiliana na adui.d) Kujasirisha washiriki.e) Kusifu askari vitani.f) Kukejeli uoga.g) Kusifu mashujaa wa zamani.h) Kukuza uzalendo kwa kuhimiza watu kuiga mashujaa.