Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na sifa za soga

 (4m 30s)
5761 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Soga
-Mazungumzo ya kupitisha wakati yasiyozingatia mada maalum.
Sifa za soga
a) Hutokea baina ya watu wa rika moja.
b) Humithilisha uhalisia badala ya kuunakili.
c) Hutumia chuku na kufanywa ljambo lionekane kama halina uhalisia.
d) Hukejeli watu au hali fulani.
e) Wahusika ni wa kubuni.


|