Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Nyimbo za watoto/chekechea na majukumu yake

 (4m 12s)
14341 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Nyimbo za watoto/chekechea
- Zilizoimbwa na watoto wakati wa kucheza/shughuli zao
Majukumu ya nyimbo za watoto
a) Kuburudisha watoto.
b) Kuwaelimisha watoto kuhusu jamii.
c) Kukuza umoja na ushirikiano baina ya watoto
d) Kukashifu tabia hasi miongoni mwa watoto k.v. uchoyo.
e) Kukuza ubunifu miongoni mwa watoto


|