Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Aina za maigizo

 (5m 43s)
5978 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Aina za maigizo
a) Maigizo Ya Kawaida
- Maonyesho ya jadi yakiwa yameondolewa kwenye mazingira yake halisi.
b) Sanaa ya Maonyesho
- Matendo ya kweli yanayojitokeza katika jamii kulingana na mazingira yake halisi k.m. uganga, mazishi.n.k
figmaigizo10820201508.JPG
figmaigizo10820201509.JPG


|