Vitendawili na sifa zake:Vitendawili -Semi ambazo hutolewa kwa mtu kwa mfano wa swali ili azifumbue.Sifaa) Huwa vifupi kimaelezo.b) Hutumia lugha ya kimafumbo.c) Hutolewa mbele ya hadhira.d) Hutumia ufananisho wa kijazanda.e) Huwa na wakati maalum wa kutolewa yaani jioni. f) Huweza kuwa na fomyula/muundo maalum i. Mteguaji: Kitendawili ii. Mteguaji: Tega