Maana na Sifa za rara
Answer Text: Rara-Hadithi fupi na nyepesi za kishairi zenye visa vya kusisimua.Sifa za raraa) Huhusu mambo ya kubuni au ya kweli k.v. sherehe ya uhuru, kesi ya mauaji, n.k.b) Huhusu maswala ibuka na ya kawaida.c) Hadithi huwasilishwa katika beti.d) Huimbwa.e) Huandamana na ala za mziki.