Nyimbo za Kimai na majukumu yake
Answer Text: Kimai-Zinazoimbwa katika shughuli za majini k.v. uvuvi na ubaharia.Majukumu ya kimaia) Kuburudisha wavuvi na mabaharia.b) Kuwajasirisha ili kukabili adha za baharini.c) Kuwatoa upweke.