Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Shirikina: Maana, mifano na umuhimu wa shirikina
Shirikina -Semi ambazo huonyesha imani fulani ya kundi ya watu
Mifano
a) Ukijikuna kiganja cha mikono utapata pesa.
b) Ukila chakula gizani utakula na shetani.
c) Kuzaliwa ukiwa na vidole sita ni kuwa na bahati.
d) Bundi akilia karibu na nyumba mtu mmoja wa nyumba ile atafariki.

Umuhimu wa shirikina
a) Kukataza maovu.
b) Kuhifadhi utamaduni.
c) Kutujulisha kuhusu itikadi za watu.

 (5m 3s)
5027 Views     SHARE

Download as pdf file


|