Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Vitanza ndimi na mifano yake:
Vitanza Ndimi - Sentensi zenye mfuatano wa sauti zinazotatanisha kimatamshi zinapotamkwa kwa haraka.
Mifano:
a) Wataita wataita Wataita wa Taita.
b) Waite wale wana wa liwali wale wali wa liwalii
c) Kupa mpe akupao kumpa asokupa si kupa ni kutupa.

 (3m 10s)
73885 Views     SHARE

Download as pdf file


|