Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Umuhimu wa soga,

 (4m 3s)
2012 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa soga
a) Kuburudisha kwa kuchekesha.
b) Kufunza maadili.
c) Kukejeli matendo yasiyofaa katika jamii
d) Kukuza ubunifu baina ya washiriki.
e) Kuonya na kutahadharisha dhidi ya tabia siyokubalika.


|