Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Takriri za maana: Mifano na umuhimu wa takriri za maana
-Mafungu ya maneno yanayosisitiza na kueleza maana zaidi ya kitendo.

Mifano
a) Haambiliki hasemezeki
b) Siku nenda siku rudi
c) Tilia huku ukitolea kule
d) Hasikii la mwadhini wala la mteka maji msikitini

Umuhimu wa takriri za maana
a) Kutia ladha katika lugha na kuifanya iwe na mnato.
b) Kusisitiza jambo.
c) Kuonyesha ukwasi wa lugha ya mnenaji.

 (3m 27s)
15703 Views     SHARE

Download as pdf file


|