Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana na sifa za nyimbo za tohara

 (5m 30s)
6317 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Nyiso/Nyimbo za Tohara
-Zinazohusiana na tohara.
Sifa za nyimbo za tohara
a) Huambatana na shughuli za jando (wavulana) na unyago (wasichana).
b) Huimbwa faraghani katika mazingira ya tohara pekee.
c) Zilitoa sifa kwa waliotahiriwa, wazazi na wasimamizi wao.
d) Ziliimbwa kuwapa wavulana ujasiri wa kukabili kisu cha ngariba.
e) Zilitoa mafunzo kuhusu majukumu mapya baada ya kutahiriwa.
f) Hujumuisha watu maalum walioteuliwa kushiriki katika sherehe.


|