Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Aina za nyimbo: Maana na Sifa za nyimbo bembelezi

 (5m 8s)
50962 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Aina za nyimbo
Bembelezi/bembea
-Nyimbo zilizoimbwa kumbembeleza/kumwongoa mtoto aache kulia au alale.
Sifa za bembelezi
a) Huimbwa na mama au walezi.
b) Aghalabu huwa fupi.
c) Huimbwa kwa sauti ya chini.
d) Huimbwa kwa sauti nyororo.
e) Zina mapigo ya polepolena taratibu.
f) Huwa na mahadhi mazuri.
g) Huimbwa aghalabu mtoto akiwa amebebwa kwa mbeleko


|