Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Umuhumi wa ngano aina ya hurafa.
a) Kutahadharisha watu dhidi ya kuwa wadanganyifu/kudangan yika kwa urahisi.
b) Kuonyesha jinsi tabia ya udanganyifu inavyoweza kujitokeza na kuathiri watu.
c) Hurafa za kijanja hufunza jinsi ya kupambana na hali ngumu.