Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Maana ya misemo na mifano yake:
-Semi zinazobeba ukweli wa kijumla.
Mifano:
a) Binadamu ni udongo.
b) Mwili haujengwi kwa mbao.
c) Umaskini si kilema.
d) Lila na fira havitangamani.

 (2m 49s)
60706 Views     SHARE

Download as pdf file


|