Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Umuhimu wa ulumbi

 (3m 43s)
5192 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa ulumbi
a) Hukuza uwezo wa kujieleza na kusema hadharani.
b) Kigezo cha kuteulia viongozi wa baadaye.
c) Kuelimisha jamii kwa njia isiyochosha.
d) Kudumisha umoja na ushirikiano jamii.
e) Kuhamasisha na kuzindua jamii juu ya suala fulani.


|