Takriri, Tabaini, Ritifaa na Taaruki:Takriri -Urudiaji wa neno au mafungu ya maneno. Mfano;alicheka, akacheka. Tabaini -Msisitizo kwa njia ya kinyume kwa kutumia kikanushio si. Ritifaa -Kusemesha asiyekuwapo kama yupo. Taharuki -Kuacha msomaji akiwa na hamu ya kutaka kujua kipi kitakachojiri halafu.